HALMASHAURI YA WILAYA YA KILINDI TUMEJIPANGA KARIBU BANDANI KWETU

BANDA LA HALMASHAURI YA WILAYA KILINDI LAPAMBA MOTO MAONESHO YA NANENANE 2023 Pichani ni Ndg. Issa Hatibu mshauri wa Mifugo Mkoa wa Tanga akiwa pamoja na Afisa Kilimo Wilaya ya Kilindi Ndg. Gordian Gwiyago akipata maelezo ya bidhaa za wakulima, wafugaji na wajasilimali alipofika banda la maonesho ya Nanenane la halmashauri ya wilaya ya kilindi tarehe 02/08/2023.

kaulimbiu ya maonesha haya 2023 "VIJANA NA WANAWAKE NI MSINGI IMARA WA MIFUMO ENDELEVU YA CHAKULA" Na Modi Mngumi

Posted in matangazo, Tangazo on Aug 03, 2023