Mpango Kazi wa Maonesho ya Nane Nane, 2020


Na. SHUGHULI MHUSIKA MUDA WA UTEKELEZAJI

1.

Kuandaa Ratiba ya vikao vya maandalizi ya Sherehe za Nane Nane

Kamati ya uratibu

Juni, 2020

2.

Kuandaa Bajeti ya Maonesho ya Nane Nane

Kamati ya uratibu

Juni, 2020

3.

Kuandaa vikao vya Wataalam na Kamati Kuu

Kamati ya uratibu

Juni, Julai na Septemba 2020

4.

Kuandaa barua za mialiko, fomu za ushiriki na kuzisambaza

Kamati ya uratibu

Juni, Julai, 2020

5.

Kumtafuta mzabuni wa kukusanya mapato milangoni

Kamati ya uratibu

Julai, 2020

6.

Usafi wa mazingira na ukarabati wa majengo

Kamati ya miundombinu usafi na Afya, Ofisi ya Meneja

Julai - Agosti  2020

7.

Kuandaa Kamati za kuratibu Maonesho

Kamati ya uratibu

Juni, 2020

8.

Kufuatilia michango kwa Washiriki

Kamati ya uratibu, Ofisi ya Meneja

Januari-Disemba  2020

9.

Kuchonga barabara na kuweka Kifusi sehemu korofi

Kamati ya miundombinu usafi na Afya

Mwishoni mwa Julai, 2020

10.

Kuteua Majaji na kuwapitisha kwenye vigezo vya ushindani

Kamati ya mashindano

Julai, 2020

11.

Kupata washindi wa Wilaya na Mikoa (Wakulima na Wafugaji bora)

Kamati ya mashindano

15 Julai, 2020

12.

Kuandaa hotuba ya Mgeni Rasmi siku ya kufungua Maonesho

Kamati ya uratibu

30 Julai, 2020

13.

Kuandaa hotuba ya Mgeni Rasmi siku ya kufunga Maonesho

Kamati ya uratibu

6 Agosti, 2020

14.

Kuandaa zawadi na vyeti vya washindi

Kamati ya mashindano

5 Agosti, 2020

15.

Kupanga ratiba za kutembelea mabanda na vipando na mgeni rasmi wa siku

Kamati ya uratibu

1- 8 Agosti, 2020

16.

Usimamizi wa shughuli za mapambo, matangazo na burudani

Kamati ya uratibu

25 Julai - 8 Agosti, 2020

17.

Kuandaa utaratibu na kusimamia ulinzi na usalama, kuandaa vitambulisho  maalumu vya waoneshaji na wafanya biashara wadogo, sticker za magari na Pikipiki na kadi za VIP.

Kamati ya ulinzi na usalama na kamati ya uratibu

25 Julai - 10 Agosti, 2020

18.

Kusimamia Maonesho

Kamati ya uratibu

1- 9 Agosti, 2020

19.

Tathmini ya Maonesho

Kamati ya uratibu

23 -25 Septemba, 2020