MPANGOKAZI WA NANE NANE KANDA YA MASHARIKI 2020-2025


   

LENGO LA KWANZA: Ukusanyaji wa Mapato unaongezeka na Usimamizi wa matumizi ya Mapato unaboreshwa hadi kufikia mwaka 2025

Na.

SHUGHULI ZA KIMKAKATI

MUDA

RASILIMALI

MHUSIKA

MATOKEO

1

Ukamilishaji wa Ujenzi wa ukuta kuzunguka uwanja wa maonesho

Apr 2020




2

Uendeshaji wa vikao vya kiutendaji kati ya Ofisi na vikosi vya ulinzi na usalama

Mara 4 kwa mwaka




3

Ukamilishaji wa utengenezaji na ujenzi wa miundombinu ya mageti katika maeneo yote ya kuingilia ndani ya viwanja

April, 2020




4

Ukamilishaji wa Ujenzi wa njia za kudumu za wapita kwa miguu katika maeneo ya mageti nyakati za Maonesho

April, 2020




5

Kuanza Matumizi ya mashine za kuthibitisha uhalali wa tiketi magetini

Julai, 2020




6

Kuendesha vikao vya tathmini kila siku jioni wakati wa sherehe za maonesho

1-9/08 kila mwaka




7

Kuweka alama za kudumu (beacons) ili kudhibiti udalali wa vizimba/maeneo

Julai, 2020




8

Kuhuisha takwimu ya wamiliki wote wa viwanja

Julai, 2020




9

Kuhuisha takwimu za wadaiwa wa kodi ya viwanja na ada ya ushiriki

April,2020





10

Kuanza utoaji wa huduma za utengenezaji wa stika za magari, vitambulisho na vyeti vya washindi

Julai,2020




11

Kuanzisha kikosi kazi cha ukaguzi wa vitambulisho na Stika za Magari wakati wa maonesho

Julai, 2020




12

Kuongeza uzalishaji na vituo vya uuzaji wa tiketi za viingilio

Julai, 2020




13

Kutoa mafunzo ya maadili na utendaji kazi kwa wasimamizi na wakusanya mapato

Julai, 2020




14

Kuteua jina la mtia saini wa Hundi kutoka Idara ya Uchumi na Uzalishaji

Sept, 2020




LENGO LA PILI: Wadau wa Maonesho wanatambua, kuandaa na kutekeleza mbinu za kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi katika Sekta zao hadi kufikia mwaka 2025

Na.

SHUGHULI ZA KIMKAKATI

MUDA

RASILIMALI

MHUSIKA

MATOKEO

1

Kuandaa na kutekeleza Mkakati wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi kwenye sekta za Kilimo, Mifugo na Uvuvi wa Nane Nane Kanda ya Mashariki. 

Dec, 2022




LENGO LA TATU: Miundombinu ya uwanja wa Nane Nane Kanda ya Mashariki inaboreshwa hadi kufikia mwaka 2025  

Na.

SHUGHULI ZA KIMKAKATI

MUDA

RASILIMALI

MHUSIKA

MATOKEO

1

Ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami nyepesi

Dec, 2025




2

Ujenzi wa jengo la jukwaa kuu na choo cha wageni waalikwa (VIP

Dec, 2021




3

Ujenzi/ukarabati wa miundombinu ya umeme katika maeneo ya jukwaa kuu, mama lishe na Ofisi kuu ya Nane Nane

Dec, 2020




4

Kusambaza huduma ya maji ndani ya uwanja

Dec, 2021




5

Ukarabati wa majengo ya Ofisi

Julai, 2020




6

Ujenzi wa mabanda ya kudumu katika eneo la Mamalishe

Dec, 2025















Lengo la NNE : Viwanja vya Nane Nane vinakuwa na mazingira safi na ya kiafya

1

Upandaji wa Miti na Maua

April kila mwaka




2

Kuajiri mtoa huduma ya Usafi  wa Mazingira ya uwanja (mzabuni)

Julai, 2022




3

Kuandaa  ramani ya ujenzi wa mabanda

Dec, 2019




4

Ujenzi wa kituo cha Afya na/ama huduma ya kwanza

Dec, 2023




Lengo la TANO : Usalama wa Mali na Miundombinu ya Uwanja unaimarishwa

1

Kuajiri mtoa huduma ya ulinzi wa miundombinu ya uwanja

Julai, 2020




Lengo la SITA: Elimu endelevu ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi inatolewa kwa jamii

1

Kuanzisha kituo cha habari cha Redio na Runinga cha Nane Nane Kanda ya Mashariki

Dec, 2025




2

Kuanzisha Tovuti ya Nane Nane Kanda ya Mashariki

Julai, 2020




3

Kuanzisha mpango wa utoaji elimu kwa jam

Julai, 2020




Lengo la SABA: Viwanja vya Nane Nane kuwa Kitovu cha Burdani ndani ya Manispaa ya Morogoro

1

Ujenzi wa Maeneo ya michezo na burudani

Dec, 2025




2

Ujenzi wa nyumba za kulala wageni (hostel) wakati na baada ya maonesho.

Dec, 2025




Lengo la NANE: Utendaji kazi wa Ofisi ya Meneja wa Nane Nane Kanda ya Mashariki unaimarishwa

1

Uteuzi wa Meneja wa Uwanja

Sept, 2019




2

Kuandaliwa kwa Bajeti na Ikama ya Ofisi ya Meneja

Oct, 2019




Lengo la TISA: Migogoro ya Umiliki Ardhi ndani ya Uwanja wa Maonesho inamalizika hadi kufikia mwaka 2025

1

Kuanzisha Dawati la Kupokea malalamiko

Sept, 2019




2

Kuandaa Kamati ya Usuruhishi wa Migorogo

Oct, 2019




Lengo la KUMI: Usimamizi na Ufuatiliaji wa shughuli za Nane Nane unaimarishwa

1

Kuandaliwa kwa mpango wa ufuatiliaji na tathmini.

Dec, 2019




Lengo la KUMI NA MOJA: Washiriki wa Maonesho ya Nane Nane Kanda ya Mashariki wanapewa Motisha ya ushiriki

1

Kupitia upya Vigezo vya ushindanishaji kwa mshindi wa jumla

Juni, 2020