MWENYEKITI WA HALMASHAURI WILAYA YA KILINDI ALIPOTEMBELEA BANDA LA MAONESHO YA NANENANE

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Kilindi Mhe. Iddrisa Mgaza katikati akipata maelezo kutoka kwa mtaalam wa Kilimo kuhusu mazao yanayostawi wilayani humo, Mwenyekiti huyo alipata maelezo hayo mara baada ya kufika banda la maoneshobya nane nane 2023 la halmashauri ya Wilaya ya Kilindi.

kaulimbiu ya maonesha haya 2023 "VIJANA NA WANAWAKE NI MSINGI IMARA WA MIFUMO ENDELEVU YA CHAKULA"

Na Modi Mngumi Kitengo cha mawasiliano Kilindi dc

Posted in matangazo, Tangazo on Aug 04, 2023