Malengo Makuu ya Maonesho ya Nane Nane Kanda ya Mashariki
- Ukusanyaji wa Mapato unaongezeka na Usimamizi wa matumizi ya Mapato unaboreshwa hadi kufikia mwaka 2025
- Wadau wa Maonesho wanatambua, kuandaa na kutekeleza mbinu za kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi katika Sekta zao hadi kufikia mwaka 2025
- Miundombinu ya uwanja wa Nanenane Kanda ya Mashariki inaboreshwa hadi kufikia mwaka 2025
- Uwanja Maonesho ya Nanenane Kanda ya Mashariki unakuwa na mazingira safi na ya kiafya
- Usalama wa Mali na Miundombinu ya Uwanja unaimarishwa
- Uwanja wa Maonesho ya Nane Nane Kanda ya Mashariki unakuwa Sehemu ya burudani ndani ya Manispaa ya Morogoro
- Utendaji kazi wa Ofisi ya Maonesho ya Nane Nane Kanda ya Mashariki unaimarishwa
- Usimamizi na Ufuatiliaji wa shughuli za Nane Nane unaimarishwa
- Washiriki wa Maonesho ya Nane Nane Kanda ya Mashariki wanapewa Motisha ya ushiriki