Kamati ya Wataalamu
Wajumbe wa Kamati hii ni Wawakilishi wa Wizara ya Kilimo na Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Makatibu Tawala Wasaidizi Uchumi na Uzalishaji, Maafisa Kilimo wa Mikoa na Maafisa Mifugo wa Mikoa kutoka Kanda ya Mashariki. Wajumbe wengine ni Maafisa Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika wa Halmashauri na Maafisa Mifugo na Uvuvi wa Halmashauri Kanda ya Mashariki.