Namba ya Akaunti ya Malipo


Malipo yote yanayofanywa kwa ajili ya Maonesho ya Nane Nane Kanda ya Mashariki hufanyika kupitia Benki ya CRDB yenye Jina “TASO WATER IMPROVEMENT PROJECT”. Nambari ya akaunti ni: 0150077110102. Tafadhali unapofanya malipo hakikisha unataja jina la mtu ama Kampuni inayofanya malipo hayo. Usitumie jina ambalo Ofisi ya Maonesho haina kumbukumbu nalo.