WAKULIMA KILINDI WANUFAIKA NA MBEGU YA MPUNGA AINA YA SARO 5
Mgawo wa awamu ya kwanza Saro5 imefanya vizuri kwa wakulima wa Kijiji Cha Kwamfyomi na Lwande na kuendelea kuibua wakulima wapya wa zao la Mpunga.
Halmashauri ya Wilaya Kilindi kupitia idara ya kilimo, mifugo na uvuvi kupitia mapato ya ndani imekuwa ikinununua Mbegu Bora kwa ajili ya kuhamasisha wananchi kulima kilimo chenye tija na hatimaye kuongeza mapato ya wakulima na Halmashauri